Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 349

Year: 2012

Matumizi ya Dola sasa marufuku

Posted on: May 15, 2012 - Rungwe Jr.
Matumizi ya Dola sasa marufuku

Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, amesema serikali itaanza kutekeleza mkakati wa kulinda thamani ya Shilingi ya Tanzania ambayo imekuwa ikiporomoka thamani yake. Dk. Mgimwa…

Continue Reading....

Mbunge wa Chadema azushiwa zengwe

Posted on: May 15, 2012 - Rungwe Jr.
Mbunge wa Chadema azushiwa zengwe

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimekanusha taarifa zilizozaa kwenye mitandao kuwa Mbunge wa Viti maalumu kupitia chama hicho, Leticia Nyerere, amekamatwa na uhamiaji kwa…

Continue Reading....

Wengi zaidi wajitoa CCM, wakimbilia Chadema

Posted on: May 15, 2012 - Rungwe Jr.
Wengi zaidi wajitoa CCM, wakimbilia Chadema

Jinamizi la wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kukihama chama hicho limezidi kukiandama ambapo safari hii Kamanada wa vijana Kata ya Ilala jijini Dar es…

Continue Reading....

Michango hii Shule ya Msingi Makumbusho inakera

Posted on: May 15, 2012 - jomushi
Michango hii Shule ya Msingi Makumbusho inakera

LICHA ya Serikali kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kutangaza kuwa imefuta michango kedekede ya shule za msingi ili kuwawezesha wanafunzi wote kupata…

Continue Reading....

Miss East Africa 2012; Ethiopia yatoa mshiriki

Posted on: May 15, 2012May 15, 2012 - jomushi
Miss East Africa 2012; Ethiopia yatoa mshiriki

WAREMBO watakaoziwakilisha nchi zao katika mashindano ya Miss East Africa mwaka huu wanaendelea kupatikana kutoka katika nchi mbalimbali zinazoshiriki mashindano hayo. Mrembo mwingine aliyeingia fainali…

Continue Reading....

Pakistan kuifungua tena njia ya misafara ya NATO

Posted on: May 15, 2012May 15, 2012 - jomushi
Pakistan kuifungua tena njia ya misafara ya NATO

WAZIRI wa Mambo ya Nchi za Nje wa Pakistan amesema wakati umewadia kufungua njia ya misafara ya NATO kuelekea Afghanistan, akisema Serikali imetoa ujumbe unaoeleweka…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari