MABONDIA, Ramadhan Kumbele na James Mokiwa wamepima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho katika Ukumbi wa VIJANA – KINONDONI. Mabondia wote wapo katika…
Continue Reading....Year: 2012
Omy Dimpoz kuzindua single ‘Baadae’ Bilcanas
Na Mwandishi Wetu BAADA ya kutamba na wimbo wake wa Nai Nai Msanii anaekuja juu kwa kasi ya ajabu na mshindi wa Tuzo mbili za…
Continue Reading....Mbunge wa Mufindi Kusini, apata ajali, alazwa
MBUNGE amepata ajali leo na amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Iringa kwa matibabu zaidi. Hata hivyo taarifa zinasema hali yake kwa sasa inaendelea vizuri…
Continue Reading....CCM wameteka Mchakato wa Katiba-Chadema
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeijia juu Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC) kwa kitendo cha kuteka mchakato wa katiba mpya kabla ya…
Continue Reading....CCM champuuza Mbunge Shibuda
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimempuuza Mbunge wa Maswa Magharibi (Chadema), John Shibuda, kufuatia kauli yake ya kudai kuwa atagombea urais kupitia Chadema katika uchaguzi mkuu…
Continue Reading....Malawi kubatilisha sheria ya mapenzi
RAIS wa Malawi,Joyce Banda amesema kuwa anataka nchi hiyo ibatilishe sheria inayoharamisha ndoa za jinsia moja na kuifanya nchi ya kwanza ya kiafrika kufanya hivyo…
Continue Reading....