RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema kuwa Tanzania itaendelea kuunga mkono kwa dhati jitihada za Zimbabwe katika kutafuta mwafaka wa kudumu…
Continue Reading....Year: 2012
Wauguzi Mara wagoma, wadai unyanyasaji kimaslahi umekithiri
Na Shomari Binda wa Binda News-Musoma WAUGUZI katika hospitali ya Mkoa wa Mara wameweka mgomo wa kuingia wodini na kutoa huduma mbalimbali katika hospitali hiyo…
Continue Reading....Yanga yaomba msaada wa kisheria TFF, ni baada ya mambo ‘kuvurugika’
KWA vile wajumbe kadhaa wa Kamati ya Utendaji ya Yanga akiwemo Mwenyekiti wa kamati hiyo Lloyd Nchunga wamejiuzulu, Kamati ya Uchaguzi ya Yanga imeliandikia barua…
Continue Reading....Taifa Stars kupambana na Malawi leo
TIMU za Taifa za Tanzania (Taifa Stars) na Malawi (The Flames) zinapambana leo Mei 26 mwaka huu katika mechi ya kirafiki itakayofanyika Uwanja wa Taifa,…
Continue Reading....Ajali mbaya Babati, watu 6 wafa wawili majeruhi
Na Mwandishi Wetu, Thehabari-Manyara HABARI zilizotufikia zinasema watu sita (6) wamefariki dunia huku wengine wawili (2) wakijeruhiwa katika ajali iliyotokea eneo la Sigino wilayani Babati…
Continue Reading....ICD yazindua mtandao wa taarifa kuhusu walemavu
Na Joachim Mushi, dev.kisakuzi.com KITUO cha Habari Kuhusu Ulemavu (ICD) nchini Tanzania kimezindua mtandao (Blogu) ambayo itakuwa ikikusanya taarifa mbalimbali kuhusiana na masuala ya walemavu…
Continue Reading....