Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 322

Year: 2012

Chipkizi 10 wapita mchujo ASPIRE

Posted on: May 30, 2012May 30, 2012 - jomushi
Chipkizi 10 wapita mchujo ASPIRE

WACHEZAJI 10 wamepita katika mchakato wa kusaka vipaji kwa chipukizi wenye umri chini ya miaka 14 kupitia mpango wa kukuza vipaji wa Aspire Football Dream…

Continue Reading....

Dk. Bilal akutana na ujumbe wa maendeleo wa Finland Ikulu.

Posted on: May 30, 2012May 30, 2012 - jomushi
Dk. Bilal akutana na ujumbe wa maendeleo wa Finland Ikulu.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja kwa kumbukumbu na Waziri wa Maendeleo wa…

Continue Reading....

Dk. Bilal akutana na Waziri wa Finland

Posted on: May 30, 2012May 30, 2012 - jomushi
Dk. Bilal akutana na Waziri wa Finland

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal amekutana na Waziri wa Maendeleo wa Finland Deidi Hautala ambapo wamezungumzia masuala…

Continue Reading....

Zanzibar bado si shwari

Posted on: May 29, 2012May 29, 2012 - jomushi
Zanzibar bado si shwari

Vurugu zashika kasi, Dk. Nchimbi, IGP Mwema watoa maagizo makala kwa Polisi VURUGU zilizozuka kuanzia juzi katika maeneo kadhaa ya Mji wa Zanzibar na kudhibitiwa,…

Continue Reading....

SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO

Posted on: May 29, 2012 - jomushi
SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO

UNAKARIBISHWA katika mfululizo wa Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) zinazofanyika kila siku ya Jumatano, ambapo wiki hii mwanaharakati, na mmoja wa viongozi wa Jukwaa…

Continue Reading....

Elias Kerenge kugombea uenyekiti UVCCM-MARA

Posted on: May 29, 2012 - jomushi
Elias Kerenge kugombea uenyekiti UVCCM-MARA

Na Shomari Binda wa Binda News-Musoma MJUMBE wa Baraza la umoja wa vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Mara na Mwenyekiti wa umoja huo kata…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari