Year: 2012
Gambia yawasili kuikabili stars
TIMU ya Taifa ya Gambia (The Scorpions) imewasili nchini jana (Juni 7 mwaka huu) saa 5.30 usiku kwa ndege ya Kenya Airways tayari kwa ajili…
Continue Reading....Hakuna atayeporwa ardhi Tanzania – Rais Kikwete
Na Mwandishi Wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa hakuna hata inchi moja ya ardhi ya mkulima mdogo katika…
Continue Reading....IMF kurejesha ufadhili kwa Malawi
SHIRIKA la Fedha Duniani IMF limesema kwamba litatoa dola milioni 157 kama mkopo kwa Malawi ili kuuchepua uchumi wake ambao umedorora.Malawi imekuwa na matatizo ya…
Continue Reading....Mshirika wa Gbagbo akamatwa.
RAIS wa zamani wa Ivory Coast Laurent Gbagbo na Mkewe Simone Mshirika mkuu wa aliyekuwa Rais wa Ivory Coast Laurent Gbagbo amekamatwa nchini Togo na…
Continue Reading....Mamilioni kwa watakaowafichua al-shabaab
SERIKALI ya Marekani imetenga dola milioni 33 kwa watakaotoa taarifa zitakazopelekea kukamatwa kwa viongozi saba wa kundi la al-shabab nchini Somalia. Marekani na wachambuzi wengine…
Continue Reading....