Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 305

Year: 2012

Mkutano CCM,Jangwani yafurika

Posted on: June 10, 2012June 10, 2012 - jomushi
Mkutano CCM,Jangwani yafurika

MAELFU wakiwa wamefurika kwenye mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika kwenye VIwanja vya Jangwani, jijini Dar es Salaam. Mkutano huo ni wa kuwapongeza viongozi wa…

Continue Reading....

Wahitimu wa Sosholojia UDOM waahidi mabadiliko

Posted on: June 10, 2012June 10, 2012 - jomushi
Wahitimu wa Sosholojia UDOM waahidi mabadiliko

Mgeni rasmi ambaye pia ni Mkuu mpya wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mh Leph Gembe akiingia Ukumbini huku akisindikizwa na Mwenyekiti wa taasisi ya wanafunzi…

Continue Reading....

Nadal kukutana na Djokovic fainali

Posted on: June 9, 2012June 9, 2012 - jomushi
Nadal kukutana na Djokovic fainali

BINGWA mtetezi wa taji la Tennis ya mashindano ya kila mwaka ya Ufaransa, Rafael Nadal amefuzu kwa mara ya saba mfululizo kushiriki fainali kwa kumtwanga…

Continue Reading....

Afrika ina wachezaji tosha Euro 2012

Posted on: June 9, 2012June 9, 2012 - jomushi
Afrika ina wachezaji tosha Euro 2012

MASHINDANO ya kombe la Mataifa ya Ulaya, yajulikanayo kama Euro 2012 yameanza nchini Poland na Ukraine. Mashindano haya ni kivutio kwa wachezaji nyota wanaoshiriki Ligi…

Continue Reading....

Maharamia kushtakiwa Mauritious

Posted on: June 9, 2012 - jomushi
Maharamia kushtakiwa Mauritious

UINGEREZA imetia saini mkataba na Mauritious kuruhusu washukiwa wa uharamia waliokamatwa na jeshi na wanamaji kupelekwa kisiwani humo kwa mashtaka. Waziri mkuu David Cameron alikutana…

Continue Reading....

Rais Omar El Bashir kikwazo Malawi

Posted on: June 9, 2012June 9, 2012 - jomushi
Rais Omar El Bashir kikwazo  Malawi

SERIKALI ya Malawi, haitakuwa mwenyeji wa mkutano wa Umoja wa Afrika uliotarajiwa kufanyika mjini Lilongwe mwezi Ujao. Hatua hii imekuja baada ya malumbano kuhusu rais…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari