Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 29

Year: 2012

Lowassa Ataka Mfumo wa Elimu Tanzania Ufumuliwe

Posted on: December 13, 2012December 13, 2012 - jomushi
Lowassa Ataka Mfumo wa Elimu Tanzania Ufumuliwe

WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa amesema kuna haja ya kutathmini upya mfumo wa elimu nchini, ili kuona kama bado unafaa au la.Alisema hatua hiyo inapaswa…

Continue Reading....

Baadhi ya Wanafunzi Kuzuiliwa Matokeo Kidato cha Pili Korogwe

Posted on: December 13, 2012December 13, 2012 - jomushi
Baadhi ya Wanafunzi Kuzuiliwa Matokeo Kidato cha Pili Korogwe

Na Joachim Mushi, Korogwe BAADHI ya Wanafunzi waliofanya mitihani wa mchujo wa kidato cha pili kuingia kidato cha tatu Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe huenda…

Continue Reading....

Nelson Mandela Aendelea Kupata Nafuu

Posted on: December 13, 2012December 13, 2012 - jomushi
Nelson Mandela Aendelea Kupata Nafuu

RAIS wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, anayetibiwa kwa ugonjwa wa mapafu, anaendelea vyema na matibabu yake na kwamba hali yake imeimarika katika…

Continue Reading....

Waandishi wa Habari za Mazingira TZ Wapewa Mwanga Yaliyojiri DOHA

Posted on: December 13, 2012December 13, 2012 - jomushi
Waandishi wa Habari za Mazingira TZ Wapewa Mwanga Yaliyojiri DOHA

  Mkutano huu uliowakutanisha pamoja waandishi wa habari za Mazingira Tanzania (JET) umeratibiwa na Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa nchini (UNIC) uliofanyika jijini…

Continue Reading....

King Class Mawe Apeleka Shangwe Ilala

Posted on: December 13, 2012December 13, 2012 - jomushi
King Class Mawe Apeleka Shangwe Ilala

Continue Reading....

Kenya Waadhimisha Miaka 49 ya Uhuru

Posted on: December 12, 2012December 13, 2012 - jomushi
Kenya Waadhimisha Miaka 49 ya Uhuru

SIKU ya Jamhuri ni maadhimisho ya siku Kenya ilipotangazwa kuwa huru baada ya kutawaliwa na wakoloni waingereza waliokuwa wakiwakandamiza waafrika weusi katika taifa hilo la…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari