Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 263

Year: 2012

Deidre Lorenz ateuliwa balozi wa Mt. Kilimanjaro Marathon

Posted on: July 4, 2012 - jomushi
Deidre Lorenz ateuliwa balozi wa Mt. Kilimanjaro Marathon

Ataitangaza Tanzania na vivutio vyake kwa wacheza sinema na walimbwende wengine wa Marekani. MCHEZA sinema na mlimbwende Deidre Lorenz kutoka katika jiji la New York…

Continue Reading....

Kuondoka kwa Kalala Jr hakuiyumbishi Mapacha 3- Josee Mara

Posted on: July 4, 2012 - jomushi

Pichani kati ni Mwanamuziki mahiri Josee Mara akifafanua kuhusiana na mikakati yao waliyonayo kwa sasa mara baada ya mwanamuziki mwenzao mmoja, Kalala Jr kutimka na…

Continue Reading....

Polisi Kilimanjaro wakamata wahamiaji haramu 42

Posted on: July 4, 2012 - jomushi
Polisi Kilimanjaro wakamata wahamiaji haramu 42

Na Mwandishi Wetu, Moshi JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro linawashikilia wahamiaji haramu 42 kutoka nchini Ethiopia na Somalia kwa tuhuma za kuingia nchini kinyume cha…

Continue Reading....

Hotuba ya Mh. Shy-Rose Banji katika uzinduzi wa katalogi ya Oriflame Tanzania Julai – Septemba 2012

Posted on: July 4, 2012 - jomushi
Hotuba ya Mh. Shy-Rose Banji katika uzinduzi wa katalogi ya Oriflame Tanzania Julai – Septemba 2012

HABARI za jioni mabibi na mabwana, Itifaki imezingatiwa. Ni furaha ya pekee na heshima kubwa waliyonipa Oriflame Tanzania kwa kunikaribisha kwenye uzinduzi wa katalog yao…

Continue Reading....

Emirates Launches Barcelona Service

Posted on: July 4, 2012July 4, 2012 - jomushi
Emirates Launches Barcelona Service

THE AIRLINE’S daily flight to Madrid went double daily on 1st July and coupled with the brand new Barcelona route, the carrier now offers three…

Continue Reading....

Balozi Seif Idd awataka watanzania kuacha kuingiza bidhaa bandia

Posted on: July 4, 2012July 4, 2012 - jomushi
Balozi Seif Idd awataka watanzania kuacha kuingiza bidhaa bandia

MAKAMU wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi, Seif Iddi ametoa changamoto kwa wafanyabiashara na wazalishaji bidhaa wa hapa nchini kujifunza kuzalisha bidhaa zenye ubora…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari