Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 23

Year: 2012

Mkutano Mkuu wa ANC Waanza Afrika Kusini

Posted on: December 16, 2012 - jomushi
Mkutano Mkuu wa ANC Waanza Afrika Kusini

CHAMA tawala cha Afrika Kusini (ANC) kimeanza mkutano wake wa taifa leo mjini Mangaung ambako chama hicho kiliundwa miaka 100 iliyopita. Katika kikao hicho chama…

Continue Reading....

Pinda Aigawa Wilaya Kurahisisha Huduma kwa Wananchi

Posted on: December 16, 2012 - jomushi
Pinda Aigawa Wilaya Kurahisisha Huduma kwa Wananchi

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema wilaya mpya ya Mlele mkoani Katavi itakuwa na Halmashauri mbili za Mlele na Nsimbo ili kurahisisha utoaji huduma kwa wananchi.…

Continue Reading....

Asilimia 90 ya Maandalizi Miss Utalii Yakamilika

Posted on: December 16, 2012December 16, 2012 - jomushi
Asilimia 90 ya Maandalizi Miss Utalii Yakamilika

WAKATI kambi ya Miss Utalii Tanzania 2012/13 ikikaribia kuanza katika Hotel ya Ikondolelo Jijini Dar es Salaam, Desemba 14, 2012 Bodi ya Taifa ya mashindano…

Continue Reading....

Waziri Mkuu Pinda Aahidi Mazao Mbadala ya Biashara

Posted on: December 16, 2012 - jomushi
Waziri Mkuu Pinda Aahidi Mazao Mbadala ya Biashara

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewataka wakazi wa wilaya mpya ya Mlele mkoani Katavi walime mazao mbadala ya biashara kama alizeti, karanga na ufuta kwa sababu…

Continue Reading....

Dk. Bilal Aongoza Waislamu Kuupokea Mwaka Mpya wa Kiislamu 1434 Hijriyya

Posted on: December 16, 2012 - jomushi
Dk. Bilal Aongoza Waislamu Kuupokea Mwaka Mpya wa Kiislamu 1434 Hijriyya

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal ameongoza waumini wa Kiislamu kuupokea mwaka mpya wa Kiislamu katika hafla iliyoandaliwa…

Continue Reading....

Tirima Enterprises Yahamasisha Usafi wa Mazingira

Posted on: December 15, 2012December 15, 2012 - jomushi
Tirima Enterprises Yahamasisha Usafi wa Mazingira

Pichani Juu na Chini ni Wafanyakazi wa Kampuni ya Usafi ya Tirima Enterprises ya Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam wakifanyakazi ya kujitolea kuzibua…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari