Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 183

Year: 2012

Kamati ya ‘Interparliamentary Unity’ (IPU) yazungumza na Dk. Bilal

Posted on: September 11, 2012 - jomushi
Kamati ya ‘Interparliamentary Unity’ (IPU) yazungumza na Dk. Bilal

Continue Reading....

Polisi Wazima Maandamano ya Waandishi Arusha

Posted on: September 11, 2012 - jomushi
Polisi Wazima Maandamano ya Waandishi Arusha

Na Mwandishi Wetu, Arusha JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha limezuia mwaandamano ya amani ya waandishi wa habari mkoani hapa yaliopangwa kufanyika kwa nia ya…

Continue Reading....

BFT Yaandaa Mashindano ya Ngumi Ubingwa wa Taifa 2012

Posted on: September 11, 2012 - jomushi
BFT Yaandaa Mashindano ya Ngumi Ubingwa wa Taifa 2012

Na Mwandishi Wetu SHIRIKISHO la ngumi Tanzania (BFT) limeandaa mashindano ya ngumi ya ubingwa wa Taifa 2012 yatakayofanyika kuanzia Septemba 17 hadi 22, 2012 ndani…

Continue Reading....

Polisi Wazuia Maandamano ya Waandishi Musoma

Posted on: September 11, 2012 - jomushi
Polisi Wazuia Maandamano ya Waandishi Musoma

*Waandishi Nao Wasusa Kuandika Habari za Polisi Na Shomari Binda, Musoma LICHA ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara kuwazuia waandishi wa habari kuandamana kulaani…

Continue Reading....

Maandamano ya Wanahabari Yamtokea Puani Waziri Nchimbi

Posted on: September 11, 2012September 11, 2012 - jomushi
Maandamano ya Wanahabari Yamtokea Puani Waziri Nchimbi

*Wamtimua kwenye maandamano alipotaka kuyapokea Na Joachim Mushi MAANDAMANO ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam yamegeuka uchungu kwa Waziri wa Mambo ya Ndani,…

Continue Reading....

Makamu wa Rais Iraq Apinga Hukumu ya Kifo Dhidi Yake

Posted on: September 11, 2012September 11, 2012 - jomushi
Makamu wa Rais Iraq Apinga Hukumu ya Kifo Dhidi Yake

MAKAMU wa rais wa Iraq Tareq al-Hashemi amepinga hukumu ya kifo iliyotolewa dhidi yake na mahakama nchini humo jana kwa makosa ya kuhusika na kupanga…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari