ATHARI za ghasia za Tana River hali ya taharuki inaendelea kutanda katika eneo la Tana Delta Pwani ya Kenya ambako Polisi wanasema wamegundua makaburi mawili…
Continue Reading....Year: 2012
Rasimu ya Udhibiti Dawa Bandia katika Nchi za Afrika yaja
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Chakula na Dawa(TFDA, Haiiti Sillo amesema kwamba kamati maalum inayoaandaa rasimu za awali ya mifumo wa kuoanisha usajili…
Continue Reading....SHY-ROSE aichangia TAMWA Milioni 2
MBUNGE wa Afrika Mashariki Shy-Rose amekichangia Chama Cha Wanahabari Wanawake nchini –TAMWA jumla ya shilingi milioni mbili. Akiukabidhi mchango huo katika ofisi za TAMWA jijini…
Continue Reading....Ligi ya Vodacom Yaingia Raundi ya Pili
MICHUANO ya Ligi Kuu ya Vodacom kuwania ubingwa wa Tanzania Bara inaingia raundi ya pili Septemba 19, 2012 kwa timu zote 14 kuumana katika viwanja…
Continue Reading....Mtihani Mpya Darasa la Saba Haumchuji Anayejua Kusoma au Asiyejua – Walimu
Na Joachim Mushi WAKATI wanafunzi wa darasa la Saba wakitarajia kuanza mitihani yao kesho baadhi ya walimu wa Sekondari wametoa angalizo kuwa mfumo mpya unaotarajiwa…
Continue Reading....Mashindano ya Ngumi Taifa Yakosa Udhamini Dar
Na Mwandishi Wetu KOCHA wa Ngumi wa Timu ya Ashanti ya Mkoa wa ILala kimichezo, Rajabu Mhamila amesikitishwa na kitendo cha Mashindano ya Taifa ya…
Continue Reading....