Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Iran nchini Tanzania aliyemaliza muda wake Mhe Mohsen Movahhedi Ghomi Septemba 28, 2012 Ikulu Dar es salaam
Continue Reading....Year: 2012
Super Sport Yaitangaza Tanzania Kimataifa katika Medani za Michezo
Meneja Mkuu wa Multichoice Tanzania Bw. Peter Fauel akifafanua ujio wa Super Sport nchini Tanzania na kuipongeza TFF kwa kuonyesha ushirikiano na kuwa Chaneli…
Continue Reading....Maonesho ya Sarakasi yaendelea kurindima New World Cinema Dar
“Karibuni watanzania wote muone sarakasi na utamaduni wa kitanzania” Pichani Juu na Chini ni mfululizo wa maonyesho ya sarakasi ya ‘Mama Africa Circus’. Picha Juu…
Continue Reading....CHEKA, KALAMA Kuzichapa Septemba 29, PTA Sabasaba
MIAMBA ya masumbwi nchini, bingwa wa Mabara Francis Cheka [SMG] na aliyekuwa bingwa wa Dunia Karama Nyilawila [Kapten] wanatarajia kupanda ulingoni Jumamosi mwaka huu kuoneshana…
Continue Reading....Mchakato wa Uchaguzi wa Viongozi TAFCA Waanza
MCHAKATO wa uchaguzi wa viongozi wa Chama cha Makocha wa Mpira wa Miguu Tanzania (TAFCA) unaanza rasmi Septemba 30 mwaka huu kwa uchukuaji fomu kwa…
Continue Reading....