*Mtanzania Aombewa ITC Marekani Na Mwandishi Wetu MCHEZO wa Ligi Kuu ya Vodacom kuwania ubingwa wa Tanzania Bara kati ya Yanga na Ruvu Shooting uliopangwa…
Continue Reading....Year: 2012
Tamko la Maaskofu wa KKKT Kuhusu Vurugu za Waislamu Kwenye Makanisa Dar
SALAAM ZA MAASKOFU WA KKKT KWA WATANZANIA WOTE KUHUSIANA NA MATUKIO YA KUCHOMA MOTO MAKANISA YA KIKRISTO ENEO LA MBAGALA – DSM. Wapendwa Katika Bwana,…
Continue Reading....FFU Achinjwa Vurugu za Zanzibar
*Polisi Yamtuhumu Uamsho, Yatangaza Kuwasaka Wauaji Popote, Vurugu Zaendelea MACHAFUKO yanayoambatana na ghasia, yamechukua sura mpya, baada ya askari mmoja wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia…
Continue Reading....TPBC Yatoa Kibali Bondia Ally Kupigana na Masamba
Na Mwandishi Wetu KAMISHENI ya Ngumi za Kulipwa Nchini (TPBC) imetoa kibali kwa bondia Rashid Ally kupigana na Bondia Wilson Masamba wa Malawi katika Motel…
Continue Reading....Mbunge Kenya Afikishwa Mahakamani kwa Uchochezi
KIONGOZI moja Mkuu wa Kiisilamu nchini Kenya, ambaye pia ni mbunge mteule amefikishwa mahakamani akishtakiwa kwa kosa la uchochezi kwenye ghasia. Mbunge huyo, Sheikh Mohammad…
Continue Reading....UNDP Yaipongeza Tanzania kwa Jitihada za Maendeleo
Na Mwandishi Wetu UMOJA wa Mataifa umeanza kuadhimisha wiki mahsusi kwa ajili ya Umoja huo kwa kufanya shughuli mbalimbali ambapo nchini Tanzania taasisi za Umoja…
Continue Reading....