Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 116

Year: 2012

Mapinduzi Mapya Yanyemelea Guinea Bissau..!

Posted on: October 22, 2012 - jomushi
Mapinduzi Mapya Yanyemelea Guinea Bissau..!

DURU za Jeshi la Guinea Bissau, Afrika Magharibi, zinaeleza kuwa watu waliokuwa na silaha wameuwawa kwenye shambulio dhidi ya kambi ya Jeshi nje ya Mji…

Continue Reading....

Kiongozi wa Uamsho, Sheikh Farid Hadi Kufikishwa Mahakamani Leo

Posted on: October 22, 2012 - jomushi
Kiongozi wa Uamsho, Sheikh Farid Hadi Kufikishwa Mahakamani Leo

Na Mwandishi Wetu KIONGOZI wa Kikundi cha Uamsho cha Mjini Zanzibar, Sheikh Farid Hadi Ahmed anatarajiwa kufikishwa mahakamani leo mjini Zanzibar kujibu mashtaka mbalimbali yanayomkabili,…

Continue Reading....

UN Family Day Ndani ya Wiki ya Umoja wa Mataifa ya Miaka 67

Posted on: October 22, 2012 - jomushi
UN Family Day Ndani ya Wiki ya Umoja wa Mataifa ya Miaka 67

Kikosi cha timu ya Wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa katika picha ya pamoja. Kikosi cha timu ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa…

Continue Reading....

GDSS Kujadili Katiba na Hali ya Afya Tanzania

Posted on: October 22, 2012October 22, 2012 - jomushi
GDSS Kujadili Katiba na Hali ya Afya Tanzania

SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII MTOA MADA NI SIKIKA. MADA:…

Continue Reading....

Rais Kikwete Awashauri Wakenya Kuhusu Uchaguzi

Posted on: October 21, 2012 - jomushi
Rais Kikwete Awashauri Wakenya Kuhusu Uchaguzi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ametaka wananchi wa Kenya wapewe nafasi ya kuamua ni viongozi gani wanawataka katika Uchaguzi Mkuu…

Continue Reading....

Lowassa Azindua Maonesho ya Miaka 10 ya VICOBA Dar

Posted on: October 21, 2012 - jomushi
Lowassa Azindua Maonesho ya Miaka 10 ya VICOBA Dar

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Mratibu wa Maonyesho ya VICOBA Tanzania,Aldo Mfinde wakati alipokuwa akiwasili kwenye viwanja…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari