Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 101

Year: 2012

EAC Yaimarisha Kitengo cha Tahadhari Kukabiliana na Usalama

Posted on: October 31, 2012 - jomushi
EAC Yaimarisha Kitengo cha Tahadhari Kukabiliana na Usalama

Na Isaac Mwangi, EANA-Arusha KATIKA juhudi za kuimarisha mfumo wa ulinzi na usalama kikanda, Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imeamua kukiimarisha kitengo chake cha utoaji…

Continue Reading....

Tunu Pinda Afungua Maonesho ya Wanawake Wajasiriamali (MOWE)

Posted on: October 31, 2012 - jomushi
Tunu Pinda Afungua Maonesho ya Wanawake Wajasiriamali (MOWE)

Mke wa Waziri Mkuu Mana Tunu Pinda akitoa hotuba ya kufungua Maonyesho ya Wanawake Wajasiriamali (MOWE) katika Viwanja vya Mnazi Mmoja leo jijini Dar es…

Continue Reading....

Viongozi wa Dini Kilimanjaro Waiunga Mkono Serikali Kupinga Udini

Posted on: October 31, 2012 - jomushi
Viongozi wa Dini Kilimanjaro Waiunga Mkono Serikali Kupinga Udini

Na Mwandishi Maalumu VIONGOZI wa dini zote Mkoa wa Kilimanjaro wameungana na Serikali kupambana na wanaharakati wa kidini ambao wanatumia dini kucheza siasa kwa nia…

Continue Reading....

Steps Entertainment Kuwatosa Wasanii Wasiofuata Sheria

Posted on: October 31, 2012 - jomushi
Steps Entertainment Kuwatosa Wasanii Wasiofuata Sheria

KAMPUNI ya usambazaji na utengenezaji filamu nchini Steps Entertainment imeahidi kushirikiana na serikali kupambana na wanaokiuka sheria ya filamu na michezo ya kuigiza ya mwaka…

Continue Reading....

Dereva Bodaboda Atoroka na Pikipiki ya Mwajiri Wake

Posted on: October 31, 2012 - jomushi
Dereva Bodaboda Atoroka na Pikipiki ya Mwajiri Wake

Bw. Nocodemus Mwasuka ambaye ni mkazi wa Kinondoni jijini Dar es Salaam akimkabidhi piki piki Bw. Godwin Allen Uisso ambaye alikuwa ni dereva wa piki…

Continue Reading....

TFF Yatoa Ufafanuzi Juu ya Vyombo vya Habari Kuzuiwa Kuonesha Ligi Kuu

Posted on: October 30, 2012 - jomushi
TFF Yatoa Ufafanuzi Juu ya Vyombo vya Habari Kuzuiwa Kuonesha Ligi Kuu

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 1. Kamati ya Ligi jana (Oktoba 29,2012) ilifanya kikao pamoja na klabu zinazoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom kujadili mambo kadhaa,…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari