Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • October
  • Page 54

Month: October 2012

Azam Marine Yaleta Meli Kubwa ya Kisasa

Posted on: October 2, 2012 - jomushi
Azam Marine Yaleta Meli Kubwa ya Kisasa

Meli ya Azam Marine inayoitwa Azam SeaLink 1 ikiwasili katika bandari ya Visawani Zanzibar kwa mara kwanza. Sehemu ya Parking yenye uwezo wa kuingiza magari…

Continue Reading....

Semina: Katiba na Masuala ya Watu Wenye Ulemavu

Posted on: October 2, 2012 - jomushi
Semina: Katiba na Masuala ya Watu Wenye Ulemavu

UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII, SHIRIKA LA SHIVYAWATA WATAWASILISHA MADA: KATIBA NA MASUALA YA WATU…

Continue Reading....

Mobile Connect Yaanzisha Huduma ya SMS Tafsiri

Posted on: October 2, 2012 - jomushi
Mobile Connect Yaanzisha Huduma ya SMS Tafsiri

Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Mobile Connect inayotoa huduma za teknolojia ya habari na mawasiliano kwa kutumia simu za mkononi wamezindua huduma mpya inayoitwa SMS…

Continue Reading....

Mafunzo ya Taiching Kumfuu Kutolewa

Posted on: October 2, 2012 - jomushi
Mafunzo ya Taiching Kumfuu Kutolewa

Na Mwandishi Wetu MSANII Jumanne Wilsoni ‘Masta Jumanne’ amewashauri vijana kujiunga na mazoezi yanayotolewa katika Ukumbi wa Ilala Sheli- CCM, ambapo anafundisha mchezo wa ‘Taiching…

Continue Reading....

Edward Lowassa Alivyo Twaa Ujumbe wa NEC Monduli

Posted on: October 1, 2012October 2, 2012 - jomushi
Edward Lowassa Alivyo Twaa Ujumbe wa NEC Monduli

Waziri mkuu mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa akipongezwa mara baada ya kupata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa nafasi ya ujumbe…

Continue Reading....

Pinda Awataka WanaCCM Kutupilia Mbali Uhasama wa Uchaguzi Uliopita

Posted on: October 1, 2012 - jomushi
Pinda Awataka WanaCCM Kutupilia Mbali Uhasama wa Uchaguzi Uliopita

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewataka wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wanaogombea nafasi mbalimbali za uongozi wasiligeuze suala la uchaguzi kuwa ni la kufa na…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari