Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • October
  • Page 43

Month: October 2012

Tanzania Kujitangaza Kiutalii Kwa Kutumia Vyakula vya Asili

Posted on: October 9, 2012 - jomushi
Tanzania Kujitangaza Kiutalii Kwa Kutumia Vyakula vya Asili

Na Magreth Kinabo, Maelezo BODI ya Utalii Tanzania, imeandaa mpango maalumu wa kutangaza utalii wa kiutamaduni, kwa kutumia filamu itakayoonesha vyakula vya kiasili vya Kitanzania…

Continue Reading....

Mpishi Maarufu Duniani Kutoka India ‘Ateta’ na Wanahabari

Posted on: October 9, 2012October 9, 2012 - jomushi
Mpishi Maarufu Duniani Kutoka India ‘Ateta’ na Wanahabari

Continue Reading....

Skylight Band Wakifanya Vitu Adimu Ndani ya Thai Village Dar

Posted on: October 9, 2012 - jomushi
Skylight Band Wakifanya Vitu Adimu Ndani ya Thai Village Dar

Rappa wa Skylight Band SONY MASAMBA akikonga nyoyo za mashabiki wa bendi hiyo ambao wanapata flava za muziki wa kila aina kuanzia Dancehall, Reggae, R…

Continue Reading....

Rehema Mbegu Ajitosa Ugombea UVCCM Kinondoni

Posted on: October 9, 2012 - jomushi
Rehema Mbegu Ajitosa Ugombea UVCCM Kinondoni

Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Kata ya Makumbusho na Ofisa Uhusiano wa Bigright Promotions, Rehema Mbegu ambaye mara nyingi huwa na vijana…

Continue Reading....

Waziri wa Fedha Aeleza Matatizo ya Tanzania kwa Benki ya Dunia

Posted on: October 9, 2012October 9, 2012 - jomushi
Waziri wa Fedha Aeleza Matatizo ya Tanzania kwa Benki ya Dunia

Na Mwandishi Maalumu, Tokyo – Japan WAZIRI wa Fedha Dk. William Mgimwa amekutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kundi namba moja la Kanda ya Afrika anayewakilisha…

Continue Reading....

Simba, JKT Oljoro Zavuna Mil. 46/-

Posted on: October 8, 2012 - jomushi
Simba, JKT Oljoro Zavuna Mil. 46/-

*TFF Yatoa Pongezi kwa ARFA Na Mwandishi Wetu PAMBANO la Ligi Kuu ya Vodacom kati ya Simba na Oljoro JKT ya Arusha lililochezwa Oktoba 7…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari