Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • October
  • Page 37

Month: October 2012

Watanzania Watakiwa Kuchangia Ujenzi Kituo cha Kuibua Vipaji

Posted on: October 12, 2012 - jomushi
Watanzania Watakiwa Kuchangia Ujenzi Kituo cha Kuibua Vipaji

Na Aron Msigwa, Maelezo-Dar es Salaam WITO umetolewa kwa Watanzania kujenga tabia ya kuchangia ujenzi wa miradi mbalimbali ya kulea na kukuza vipaji vya watoto…

Continue Reading....

Ligi Kuu Bara Kuendelea Leo, Uchaguzi DRFA Wasogezwa Mbele

Posted on: October 12, 2012 - jomushi
Ligi Kuu Bara Kuendelea Leo, Uchaguzi DRFA Wasogezwa Mbele

MICHUANO ya Ligi Kuu ya Vodacom inaendelea Oktoba 13 mwaka huu kwa timu kumi kupambana kwenye viwanja vitano tofauti katika raundi ya saba ya ligi…

Continue Reading....

Waziri wa Fedha Tanzania, Mgimwa Katika Mazungumzo na Viongozi wa Benki ya Dunia

Posted on: October 12, 2012October 12, 2012 - jomushi
Waziri wa Fedha Tanzania, Mgimwa Katika Mazungumzo na Viongozi wa Benki ya Dunia

Mkutano wa ‘Caucus’ Wafanyika Mikutano ya IMF inaendelea, wakati huo huo mikutano mingine ikichukua nafasi yake na kusaidia kujadili mambo ambayo yanaweza yakalisaidia Bara la…

Continue Reading....

Steps Entertainment Wawasaidia Watoto wa Shule ya Buguruni Viziwi

Posted on: October 12, 2012 - jomushi
Steps Entertainment Wawasaidia Watoto wa Shule ya Buguruni Viziwi

Continue Reading....

THT Sasa Yaanzisha Darasa la Muziki na Sauti Kila Mwezi

Posted on: October 12, 2012October 12, 2012 - jomushi
THT Sasa Yaanzisha Darasa la Muziki na Sauti Kila Mwezi

 Mwalimu Kibaso ambaye anafundisha masuala ya Sauti (Vocal) akiwapa mazoezi ya viungo vijana waliojiunga katika darasa la muziki linaloendeshwa na Tanzania House of Talent (THT)…

Continue Reading....

Warembo wa Redds Miss Tanzania 2012 Wachezea Nyoka Arusha

Posted on: October 12, 2012 - jomushi
Warembo wa Redds Miss Tanzania 2012 Wachezea Nyoka Arusha

******** Warembo wanaowania taji la Redds Miss Tanzania 2012 walitembelea eneo la Utalii la ufugaji nyoka la mjini Arusha maarufu Arusha Snake Park na kujionea…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari