NDOTO ya miaka mingi ya kujengwa kwa barabara ya Msata-Bagamoyo kwa kiwango cha lami imetimia Jumanne, Septemba 18, 2012, wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano…
Continue Reading....Month: September 2012
Al-Shabaab waanza kutoroka Kismayo
WANAJESHI wa Kenya wakipambana na Al Shabaab huku wenyeji mjini Kismayo Somalia, wameambia BBC kuwa wapiganaji wa Al-Shabab wameanza kuondoka katika ngome yao ya mwisho…
Continue Reading....Makaburi ya siri yagunduliwa Tana
ATHARI za ghasia za Tana River hali ya taharuki inaendelea kutanda katika eneo la Tana Delta Pwani ya Kenya ambako Polisi wanasema wamegundua makaburi mawili…
Continue Reading....Rasimu ya Udhibiti Dawa Bandia katika Nchi za Afrika yaja
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Chakula na Dawa(TFDA, Haiiti Sillo amesema kwamba kamati maalum inayoaandaa rasimu za awali ya mifumo wa kuoanisha usajili…
Continue Reading....SHY-ROSE aichangia TAMWA Milioni 2
MBUNGE wa Afrika Mashariki Shy-Rose amekichangia Chama Cha Wanahabari Wanawake nchini –TAMWA jumla ya shilingi milioni mbili. Akiukabidhi mchango huo katika ofisi za TAMWA jijini…
Continue Reading....Ligi ya Vodacom Yaingia Raundi ya Pili
MICHUANO ya Ligi Kuu ya Vodacom kuwania ubingwa wa Tanzania Bara inaingia raundi ya pili Septemba 19, 2012 kwa timu zote 14 kuumana katika viwanja…
Continue Reading....