Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • May
  • Page 33

Month: May 2012

Michango hii Shule ya Msingi Makumbusho inakera

Posted on: May 15, 2012 - jomushi
Michango hii Shule ya Msingi Makumbusho inakera

LICHA ya Serikali kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kutangaza kuwa imefuta michango kedekede ya shule za msingi ili kuwawezesha wanafunzi wote kupata…

Continue Reading....

Miss East Africa 2012; Ethiopia yatoa mshiriki

Posted on: May 15, 2012May 15, 2012 - jomushi
Miss East Africa 2012; Ethiopia yatoa mshiriki

WAREMBO watakaoziwakilisha nchi zao katika mashindano ya Miss East Africa mwaka huu wanaendelea kupatikana kutoka katika nchi mbalimbali zinazoshiriki mashindano hayo. Mrembo mwingine aliyeingia fainali…

Continue Reading....

Pakistan kuifungua tena njia ya misafara ya NATO

Posted on: May 15, 2012May 15, 2012 - jomushi
Pakistan kuifungua tena njia ya misafara ya NATO

WAZIRI wa Mambo ya Nchi za Nje wa Pakistan amesema wakati umewadia kufungua njia ya misafara ya NATO kuelekea Afghanistan, akisema Serikali imetoa ujumbe unaoeleweka…

Continue Reading....

IAEA kukagua Kituo cha Kijeshi cha Iran

Posted on: May 15, 2012May 15, 2012 - jomushi
IAEA  kukagua Kituo cha Kijeshi cha Iran

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Kudhibiti Matumizi ya Nishati ya Nyuklia (IAEA) limesema litaishinikiza Iran iwaruhusu wakaguzi kuingia kwenye kituo chake cha kijeshi, ambacho…

Continue Reading....

Wafungwa wa Kipalestina waongeza masharti

Posted on: May 15, 2012 - jomushi
Wafungwa wa Kipalestina waongeza masharti

WAFUNGWA wa Kipalestina walio katika mgomo wa kutokula wameongeza masharti zaidi ili kusitisha mgomo wao unaowahusisha wafungwa 1,550 na mahabusi wawili unaoendelea kwa siku ya…

Continue Reading....

Shehena ya silaha yanaswa DRC

Posted on: May 15, 2012 - jomushi
Shehena ya silaha yanaswa DRC

SHEHENA silaha imenaswa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika shamba linalomilikiwa na mbabe wa kivita wa zamani Jenerali Bosco Ntaganda. Kwa mujibu wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari