Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • May
  • Page 30

Month: May 2012

Obama amwita Rais Kikwete Marekani

Posted on: May 16, 2012 - jomushi
Obama amwita Rais Kikwete Marekani

*Ni kuhudhuria Mkutano wa G-8 Na Mwandishi Maalumu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete yuko njiani kwenda Washington, Marekani kuhudhuria Mkutano…

Continue Reading....

Wananchi wamtaka Mbunge wa CCM ahamie CHADEMA

Posted on: May 16, 2012May 16, 2012 - jomushi
Wananchi wamtaka Mbunge wa CCM ahamie CHADEMA

*Ni Ester Bulaya mbunge wa Viti Maalumu Na Shomari Binda Musoma, Wa Binda News MBUNGE wa Viti Maalumu mkoani Mara kupitia vijana (CCM), Ester Bulaya…

Continue Reading....

Wananchi Mara waogopa kuhesabiwa, wadai ni kifo

Posted on: May 16, 2012May 16, 2012 - jomushi
Wananchi Mara waogopa kuhesabiwa, wadai ni kifo

Na Thomas Dominick, Musoma WANANCHI wa Mkoa wa Mara wametakiwa kuondokana na mila potofu ambazo zinadai kuwa mtu akihesabiwa basi anakufa au mwanamke hazai tena,…

Continue Reading....

Mikopo ya siri yaziliza familia Tanzania

Posted on: May 16, 2012May 16, 2012 - jomushi
Mikopo ya siri yaziliza familia Tanzania

Na Mwandishi Wetu WANANDOA wanapaswa kuepuka kuingia mikopo ya siri ikiwa ni pamoja na kuweka rehani mali za familia ili kuepusha familia kupoteza mali zake…

Continue Reading....

Mambo ya Jeshi la Marekani hayo!

Posted on: May 16, 2012 - Rungwe Jr.
Mambo ya Jeshi la Marekani hayo!

Continue Reading....

Mwakyembe awaka

Posted on: May 16, 2012 - Rungwe Jr.
Mwakyembe awaka

Siku chache baada ya kuanza kutumikia wadhifa wa Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, amesema kuwa chanzo kikuu cha matatizo ya Shirika la Reli la…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari