Na Mwandishi Wetu, Arusha JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha limewataka wananchi kuacha kujichukulia sheria mkononi, baada ya watu watatu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi kuuwawa…
Continue Reading....Month: May 2012
KIDT yakabiliwa na changamoto lukuki
Na Mwandishi wetu, Kilimanjaro KITUO cha Maendeleo ya Viwanda mkoani Kilimanjaro (KIDT) kinakabiliwa na uchakavu wa mashine na ukosefu wa mitaji hali inayosababisha kituo kishindwe…
Continue Reading....Nato kukabidhi jukumu la ulinzi Afghanstan 2013
JUMUIYA ya kujihami ya NATO imesema kuwa itakabidhi jukumu la ulinzi wa Afghanistan kwa nchi hiyo katikati ya 2013 pamoja na kutangaza kuanza mfumo wake…
Continue Reading....Polisi “kazi ipo Kesi ya Terre’blanche leo”
POLISI wameimarisha doria katika mji wa Ventersdorp, nchini Afrika Kusini ambapo mahakama inasubiriwa kutoa hukumu kwa vijana wawili wa Kiafrika wanaotuhumiwa kumuua Eugene Terre’ Blanche…
Continue Reading....RC Musoma “wabaneni mawakala wa pembejeo wasio waaminifu”
Na mwandishi wetu, Musoma MKUU wa Mkoa wa Mara John Tuppa amewataka watendaji ndani ya Mkoa huo kuwabana mawakala wa ruzuku za pembejeo za kilimo…
Continue Reading....Dk. Shein akutana na uongozi wa Wizara zenye tija
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo na Maliasili,katika utekelezaji wa mpango wa…
Continue Reading....