Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira, amejikuta katika wakati mgumu kwa kuzomewa na kuulizwa maswali magumu na wananchi wa jimbo…
Continue Reading....Month: May 2012
Binti asimulia mamaye alivyouawa kinyama
Ni ukatili usioelezeka, ni kukosa hata chembe ya ubinadamu, hii ni simulizi ya kutisha ya binti aliyeshuhudia mama yake akicharangwa mapanga kutokana na imani za…
Continue Reading....Mbunge “Profesa Maji Marefu” alazwa India
Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Stephen Ngonyani, maarufu kama ‘Profesa Majimarefu’, amelazwa hospitalini nchini India baada ya afya yake kubadilika. Habari kutoka Ofisi Ndogo za…
Continue Reading....Hakuna dalili ya makubaliano Iran na IAEA
MAZUNGUMZO baina ya Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nguvu za Atomiki IAEA Yukia Amano na Viongozi wa Iran, kuhusu mpango wa nyuklia wa nchi…
Continue Reading....Uchaguzi huru kunafanyika Misri
RAIS wa Misri wanajianda kushiriki katika uchaguzi wa kwanza huru tangu mapinduzi ya kiraia yaliomuondoa Rais Hosni Mubarak mamlakani miezi 15 iliopita. Watu milioni 50…
Continue Reading....Makala kutatua mgogoro wa ardhi kinyenze
Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla ( aliyesimama na kunyosha mkono juu) akisisitiza jambo juu ya namna ya kutafuta muakafa ili kumalizwa kwa mgogoro…
Continue Reading....