Mwandishi Wetu, dev.kisakuzi.com-Moshi LICHA ya Serikali na mashirika anuai kujitahidi kupunguza ongezeko la watoto wa mitaani juhudi hizo zinaonekana kugonga ukuta baada ya mkoani Kilimanjaro…
Continue Reading....Month: April 2012
SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO
UNAKARIBISHWA Katika mfululizo wa Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) zinazofanyika kila Jumatano ambapo wiki hii DK. NGWANZA KAMATA, wa Chuo Kikuu cha Dar es…
Continue Reading....Omba Mungu usiibiwe Maneromango, ni mzigo mara dufu
Na Joachim Mushi, dev.kisakuzi.com-Kisarawe UKIWA wewe ni mkazi wa Kata ya Maneromango, Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani huenda siku zote utakuwa ukiomba isitokee umeibiwa au…
Continue Reading....Utawala wa kijeshi Mali kuwekewa vikwazo
MALI inaweza kuwekewa vikwazo hii leo, baada ya viongozi wa kijeshi kutoonesha ishara zozote kuheshimu ahadi walizotoa za kurejesha utawala wa kiraia nchini humo. Muda…
Continue Reading....LAPF kutoa msaada kwa kambi ya masumbwi taifa
AWALI ya yote Shirikisho la Ngumi Tanzania (BFT) tunatoa shukrani za dhati kwa kwa shirika la LAPF kwa mara nyingine kukubali kuipatia timu ya Taifa…
Continue Reading....JK amtumia rambirambi IGP mstaafu Mahundi
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta-Jenerali Saidi Mwema kuomboleza…
Continue Reading....