Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • April
  • Page 18

Month: April 2012

Wanachama wa GEPF kulipa michango Kupitia Airtel money

Posted on: April 20, 2012 - jomushi
Wanachama wa GEPF kulipa michango  Kupitia Airtel money

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel kwa kushirikiana na mfuko wa mafao ya uzeeni kwa watumishi wa serikalini, (GEPF) imezindua huduma itayowawezesha wanachama wa…

Continue Reading....

Mama salma Kikwete awatembelea wagonjwa wa kansa-Brasilia

Posted on: April 20, 2012 - jomushi
Mama salma Kikwete awatembelea wagonjwa wa kansa-Brasilia

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa amembeba mtoto Anna Julia Telles mwenye umri wa miezi mitatu anayepata matibabu ya kansa katika Hospitali ya watoto…

Continue Reading....

Zitto azilipua bungeni Tanesco, ATCL

Posted on: April 19, 2012 - Rungwe Jr.
Zitto azilipua bungeni Tanesco, ATCL

Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), imependekeza kwa serikali iwakamate na kuwafikisha mahakamani maofisa wa serikali walioingia mkataba wa ukodishaji wa…

Continue Reading....

Mbunge anusurika ajalini

Posted on: April 19, 2012 - Rungwe Jr.
Mbunge anusurika ajalini

Mbunge wa Temeke (CCM), Abbas Mtevu, na watu wawili akiwemo dereva wake wamenusurika kifo baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupinduka katika kijiji cha Tabu Hotel…

Continue Reading....

Hatma ubunge Lissu Aprili 27

Posted on: April 19, 2012 - Rungwe Jr.
Hatma ubunge Lissu Aprili 27

Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma itatoa hukumu ya kesi ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), Aprili 27, mwaka huu 2012 baada ya kukamilika…

Continue Reading....

SUDAN KUWASILI MCHANA HUU

Posted on: April 19, 2012 - jomushi
SUDAN KUWASILI MCHANA HUU

Timu ya Taifa ya Sudan (U20) inawasili leo saa 7.25 mchana (Aprili 19 mwaka huu) kwa ndege ya Ethiopian Airlines namba ET 805 ikiwa na…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari