Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • April
  • Page 14

Month: April 2012

Iran yaunda ndege isiyohitaji rubani

Posted on: April 23, 2012 - jomushi
Iran yaunda ndege isiyohitaji rubani

Iran imeanza kuunda ndege ya ujasusi sawa na ile ya aina ya Sentinel ya Marekani, ambayo ilianguka nchini Iran mwaka jana. Wakuu wa Iran wanasema…

Continue Reading....

JK alikana Tanzania Daima, adai linapotosha

Posted on: April 22, 2012April 22, 2012 - jomushi
JK alikana Tanzania Daima, adai linapotosha

RAIS Jakaya Kikwete amekana taarifa zilizoandikwa na Gazeti la Tanzania Daima Jumapili Aprili 22, 2012 kuwa kumekuwa na mazungumzo baina ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete…

Continue Reading....

Rais Kikwete aenda Malawi kumzika Mutharika

Posted on: April 22, 2012 - jomushi
Rais Kikwete aenda Malawi kumzika Mutharika

RAIS Jakaya Mrisho Kikwete amewasili mjini Blantyre, Malawi jioni kuhushuria Mazishi ya Profesa Bingu wa Mutharika, aliyekuwa Rais wa Malawi, aliyefariki Aprili 5, 2012 Kufuatia…

Continue Reading....

Mama Kipingu atembelea Timu ya ngumi ya Taifa

Posted on: April 22, 2012 - jomushi
Mama Kipingu atembelea Timu ya ngumi ya Taifa

Na Mwandishi Wetu, Kihaba Pwani MWAKILISHI wa Wanawake na Maendeleo ya Vijana, Ajira wa Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT), Zuwena Kibena’ Mama Kanari…

Continue Reading....

Rambirambi za Rais Kikwete kwa Brig. Jenerali Mwakanjuki

Posted on: April 22, 2012 - jomushi
Rambirambi za Rais Kikwete kwa Brig. Jenerali Mwakanjuki

RAIS Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein kufuatia kifo cha mwanasiasa mkongwe Brigedia Jenerali Mstaafu Adam…

Continue Reading....

Dk Shein aongoza mazishi ya Brig. Mwakanjuki

Posted on: April 22, 2012 - jomushi
Dk Shein aongoza mazishi ya Brig. Mwakanjuki

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, jana ameongoza mazishi ya marehemu Brigedia Jenerali…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari