Na Magreth Kinabo – MAELEZO SERIKALI kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imetoa magari saba ya huduma za mkoba kwa ajili ya wananchi…
Continue Reading....Month: March 2012
Pambano la Stars, Mambas laingiza sh. mil 64
MECHI ya mchujo kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika- AFCON 2013 kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Msumbiji (Mambas) iliyochezwa…
Continue Reading....Matukio katika ziara ya mtandao wa dev.kisakuzi.com kuangalia huduma za msingi kwa watu wenye ulemavu na uenezwaji wa taarifa juu ya Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Walemavu wilayani Arumeru kwa ufadhili wa ICD
*Ziara ya mtandao wa dev.kisakuzi.com mkoani Arusha kuangalia huduma za msingi kwa watu wenye ulemavu wilayani Arumeru kwa ufadhili wa Kituo cha Habari Kuhusu Ulemavu…
Continue Reading....Wanafunzi walemavu wapimwe kiupekee – Walimu
Na Joachim Mushi, dev.kisakuzi.com-Arumeru BAADHI ya walimu wa wanafunzi wenye ulemavu anuai wilayani hapa wameitaka Serikali kuacha utaratibu wa kuwataini wanafunzi wenye ulemavu katika mitihani…
Continue Reading....JK ataka mapendekezo wajumbe Tume ya Kuratibu maoni ya Katiba
Na Mwandishi Maalumu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete Februari 29, 2012, ametangaza kuwa ametoa mwaliko kwa wadau mbalimbali kuwasilisha majina…
Continue Reading....