Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • March
  • Page 26

Month: March 2012

Pinda ataka ujenzi wa kituo cha mikutano cha Baba wa Taifa ukamilishwe haraka

Posted on: March 10, 2012 - jomushi
Pinda ataka ujenzi wa kituo cha mikutano cha Baba wa Taifa ukamilishwe haraka

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amezitaka kampuni na taasisi zinazohusika na kutoa huduma muhimu katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwl. Julius Kambarage Nyerere ziharakishe…

Continue Reading....

Waziri azindua akaunti ya Twiga Stars kupitia Tigo Pesa

Posted on: March 10, 2012 - jomushi
Waziri azindua akaunti ya Twiga Stars kupitia Tigo Pesa

NAIBU Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara leo, Machi 10 mwaka huu amechangia sh. milioni moja kwenye uzinduzi wa akaunti ya…

Continue Reading....

Moto wa kampeni za CHADEMA Arumeru

Posted on: March 10, 2012March 10, 2012 - jomushi
Moto wa kampeni za CHADEMA Arumeru

Continue Reading....

Bunge lakabidhiwa nyumba ya Spika

Posted on: March 10, 2012 - jomushi
Bunge lakabidhiwa nyumba ya Spika

Muonekano wa nyumba hiyo kwa mbele. Jengo hili ambalo litakuwa makazi ya Spika yeyote atakayeliongoza Bunge la Tanzania lilianza kujengwa Disemba 2009 na limegharimu takriban…

Continue Reading....

Madaktari wamtii JK, wasitisha mgomo rasmi

Posted on: March 10, 2012 - jomushi
Madaktari wamtii JK, wasitisha mgomo rasmi

MADAKTARI nchini Tanzania wamesitisha mgomo wao mara moja ikiwa ni baada ya kufanya mazungumzo na Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete na kuwasilisha madai yao, huku…

Continue Reading....

Wafanyakazi Tazara wasitisha mgomo

Posted on: March 10, 2012 - jomushi
Wafanyakazi Tazara wasitisha mgomo

Na Joyce Ngowi WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Reli Tanzania na Zambia (TAZARA) wamesitisha mgomo baada ya Waziri wa Uchukuzi Omari Nundu kusikiliza kilio chao sugu…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari