Month: February 2012
JK ataka Mahakama ianze kutoa adhabu mbadala
Na Joachim Mushi RAIS wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema kutolewa kwa adhabu mbadala na mahakama kutapunguza msongamano mkubwa wa wafungwa gerezani, hivyo kuishauri taasisi hiyo…
Continue Reading....Rais Kikwete akutana na Baraza la NGO’s taifa
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wa Asasi Zisizokuwa za Kiserikali (AZISE) wamekutana Februari 3, 2012, Ikulu, Dar es…
Continue Reading....Baa la njaa limekwisha Somalia
UMOJA wa Mataifa (UN) umetangaza kuwa baa la njaa nchini Somalia lililotangazwa kulikumba taifa hilo hivi karibuni sasa limefikia kikomo. Umoja huo umesema hali imeimarika…
Continue Reading....Mtihani wa mawakala wa wachezaji FIFA Machi 29
Na Mwandishi Wetu MTIHANI wa uwakala wa wachezaji (players agent) wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) utafanyika Alhamisi ya Machi 29 mwaka…
Continue Reading....Ligi Kuu ya Vodacom mzunguko wa 16 kuanza
Na Mwandishi Wetu MZUNGUKO wa 16 wa Ligi Kuu ya Vodacom kuwania ubingwa wa Tanzania Bara unaanza Februari 4 mwaka huu kwa mechi tatu. Coastal…
Continue Reading....