Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya huduma za simu za mkononi inayoongoza nchini leo imetangaza kwa wateja wake ofa 4 kwa pamoja zitakazowafanya wazidi kufaidika, kuwezeshwa…
Continue Reading....Month: February 2012
Simba yapigwa faini, Mafisango aonywa
Na Mwandishi Wetu KAMATI ya Ligi imeagiza mchezaji Patrick Mafisango wa Simba aandikiwe barua ya onyo kutokana na kumsukuma mwamuzi Isihaka Shirikisho baada ya kumuonesha…
Continue Reading....Waamuzi, Kamishna waondolewa Ligi Kuu Vodacom
Na Mwandishi Wetu WAAMUZI watatu na kamishna mmoja wameondolewa kuchezesha na kusimamia mechi za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kutokana na kuonesha upungufu katika uchezeshaji…
Continue Reading....Watu 28 wauwawa kwa mabomu Urusi
MABOMU mawili yaliyotegwa katika magari yakilenga vituo vya usalama katika Mji wa Aleppo yameuwa takribani watu 28, huku waasi wakiishutumu Serikali ya nchi hiyo wakianzisha…
Continue Reading....Whitney Houston afariki dunia
MWANAMUZIKI maarufu nchini Marekani, Whitney Houston amefariki dunia. Houston ambaye pia aliwahi kuwa mcheza filamu na mwanamziki aliyefanikiwa amefariki dunia akiwa na umri wa miaka…
Continue Reading....Ujenzi wa shule za kata waleta vituko elimu ya sekondari
Na Joachim Mushi Rukwa UJENZI wa Shule za Sekondari kwa kila Kata maarufu kama ‘sekondari za kata’ katika mikoa anuai umeongeza vituko kwenye sekta ya…
Continue Reading....