Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • January
  • Page 42

Month: January 2012

Iran yajaribu kombora jipya

Posted on: January 2, 2012 - jomushi
Iran yajaribu kombora jipya

IRAN inasema imefanya jaribio la kurusha kombora la masafa ya wastani. Jaribio hilo lilifanywa wakati wa mazoezi ya jeshi karibu na Hormuz, mlango unaounganisha Ghuba…

Continue Reading....

Dk. Shein ahaidi neema 2012 kwa Wazanzibar

Posted on: January 2, 2012 - jomushi
Dk. Shein ahaidi neema 2012 kwa Wazanzibar

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) mwaka 2012 imeahidi kuimarisha miundombinu na ubora wa huduma za jamii zikiwemo elimu, afya na…

Continue Reading....

Shambulio la Garissa Al-shabaab wausishwa watano wauwawa

Posted on: January 2, 2012 - jomushi
Shambulio la Garissa Al-shabaab wausishwa watano wauwawa

WATU WATANO wameuwawa na zaidi ya 20 kujeruhiwa kwenye klabu ya starehe mjini Garissa, kaskazini-mashariki mwa Kenya. Washambuliaji walirusha maguruneti kwenye klabu hiyo na kisha…

Continue Reading....

Katibu Mkuu Kiongozi aapishwa na Rais Kikwete Ikulu

Posted on: January 2, 2012 - jomushi
Katibu Mkuu Kiongozi aapishwa na Rais Kikwete Ikulu

RAIS wa Tanzania akimuapisha Katibu Mkuu Kiongozi Mpya, Balozi Ombeni Sefue kushikilia nafasi hiyo. Kuapishwa kwa Balozi Sefue ni kunakamilisha kazi ya Rais Jakaya Kikwete…

Continue Reading....

Rais Kikwete alipouaga mwili wa marehemu Mchuka

Posted on: January 1, 2012 - jomushi
Rais Kikwete alipouaga mwili wa marehemu Mchuka

Continue Reading....

JK awateua makatibu wakuu wizara anuai

Posted on: January 1, 2012 - jomushi
JK awateua makatibu wakuu wizara anuai

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, Desemba 30, 2011, alifanya uteuzi wa Makatibu Wakuu na Naibu Katibu Mkuu na pia amefanya uhamisho…

Continue Reading....

Posts navigation

Newer posts
thehabari