Na Mwandishi Wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewateua mabalozi wawili kuiwakilisha Tanzania nchini Italia pamoja na Naibu Balozi wa kudumu…
Continue Reading....Month: January 2012
HOTUBA YA RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN KATIKA SHEREHE YA UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI SEKONDARI YA UZINI KWA NIABA YA SEKONDARI SABA ZINAZOJENGWA KWA UFADHILI WA BENKI YA DUNIA, JANUARI 3, 2012
Assalam Alaykum Naanza kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu (SW) kwa kutujaalia uzima na afya tukaweza kukutana asubuhi ya leo katika hafla hii muhimu kwa maendeleo ya…
Continue Reading....Jambazi laua askari kwa risasi Arusha
*Lamjeruhi pia Mkuu wa Upelelezi Na Mwandishi Wetu, Arusha KONSTEBO wa Jeshi la Polisi mkoani Arusha namba F 2218, wa Idara ya Upelelezi, Kijanda Mwandu…
Continue Reading....TFF wamtosa Basena, yamtaka kumalizana na Simba
Na Mwandishi Wetu MALALAMIKO ya Kocha Moses Basena kwa TFF baada ya klabu yake ya Simba kusimamisha mkataba wake yaliwasilishwa mbele ya Kamati ya Sheria,…
Continue Reading....Fidia ya Kimbangulile kwa Samata yakwama
*TFF yaonya usajili dirisha dogo 2011/2012 KAMATI ya Sheria, Maadili na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) chini ya uenyekiti…
Continue Reading....