Na Mwandishi Wetu MAKAMU Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal jana alipokea mchango wa sh. milioni 10 ukiwa ni…
Continue Reading....Month: January 2012
Kesi ya Mbunge Lema kuanza Februari 7
Na Janeth Mushi, Arusha KESI inayomkabili Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema (CHADEMA) na wanachama 18 wa chama hicho inatarajiwa kuanza kusikilizwa Februari 7 mwaka…
Continue Reading....Waliokufa ajali ya meli Italia wafikia watano, 17 hawaonekani
MAITI mbili zimeopolewa tena katika meli kubwa ya kifahari ya abiria ya Costa Concordia iliyozama juzi nchini Italia eneo la Kisiwa cha Giglio. Kupatikana kwa…
Continue Reading....Mgomo Nigeria washingwa kupatiwa suluisho, mazungumzo yavunjika
MAZUNGUMZO baina ya Serikali ya Nigeria na Vyama vya Wafanyakazi kuhusu fidia ya bei ya mafuta yamevunjika, na sasa kuna uwezekano mkubwa kwa wafanyakazi wa…
Continue Reading....Arsenal yalala, Newcastle yaibuka
MATUMAINI ya Timu ya Arsenal kusogelea nafasi nne bora za juu za Ligi ya Soka ya Uingereza yamevurugwa na Timu ya Swansea baada ya kuonesha…
Continue Reading....Mtandao Vodacom M-Mpesa waboreshwa
*Kasi yaongezeka, wateja wazidi kufurahia huduma KAMPUNI ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania imefanya maboresho makubwa katika mfumo unaondesha huduma ya Vodacom M-Pesa kwa lengo la…
Continue Reading....