KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (Serengeti Boys), Kim Poulsen na msaidizi wake Jamhuri Kihwelo wameita wachezaji…
Continue Reading....Month: August 2011
Taarifa ya utafiti juu ya matatizo yanayowakabili Wanafunzi wenye ulemavu, hasa wasioona katika baadhi ya shule za msingi Mkoa wa Dar es Salaam na Wilaya ya Lushoto, Tanga
Taarifa ya utafiti juu ya matatizo yanayowakabili Wanafunzi wenye ulemavu, hasa wasioona katika baadhi ya shule za msingi Mkoa wa Dar es Salaam na Wilaya…
Continue Reading....Mgogoro wa ardhi Kiteto waacha makovu kwa watoto
Na Mwandishi Wetu, Kiteto “NAPENDA kusoma, na ninataka niwe mwanasheria ili niwaokoe wengine kutokana na migogoro ya ardhi,” anasema Paschal Michael, mtoto wa miaka 10…
Continue Reading....Nyota wa soka Japan Naoki afariki dunia
MCHEZAJI Kandanda wa Japan, Naoki Matsuda amefariki dunia siku mbili baada ya kupoteza fahamu uwanjani akiwa mazoezini huku ikiaminika kifo chake kimetokana na maradhi ya…
Continue Reading....Serikali na wauza mafuta wavutana
5th August 2011 WAKATI wafanyabiashara wa mafuta nchini wamesisitiza kwamba wataendelea na mgomo wao hadi bei itakapoongezwa, Mamlaka ya Udhibiti wa Mafuta na Maji (EWURA)…
Continue Reading....