Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2011
  • July
  • Page 41

Month: July 2011

Ndani ya Banda la Wizara ya Nishati na Madini Saba Saba

Posted on: July 3, 2011 - jomushi
Ndani ya Banda la Wizara ya Nishati na Madini Saba Saba

Kushoto ni baadhi ya wataalamu wa Wizara ya Nishati na Madini wakiwaelezea masuala mbalimbali wananchi waliotembelea banda la wizara hiyo Saba Saba jana. Kulia ni…

Continue Reading....

Huduma Saba Saba ndani ya banda la NSSF

Posted on: July 3, 2011 - jomushi
Huduma Saba Saba ndani ya banda la NSSF

Ofisa Habari Mwandamizi na Huduma kwa Wateja wa NSSF, Alfred Ngotezi akimuhudumia mmoja wa wateja waliotembelea Banda la NSSF kwenye Maonesho ya Biashara Kimataifa, yanayofanyika…

Continue Reading....

Daraja la Kigamboni kuanza kujengwa Desemba

Posted on: July 2, 2011July 2, 2011 - jomushi
Daraja la Kigamboni kuanza kujengwa Desemba

Mmoja wa wafanyakazi wa NSSF ndani ya Banda lao katika viwanja vya Saba Saba, akieleza namna ya muonekano wa Daraja la Kigamboni litakavyokuwa na namna…

Continue Reading....

DIT wavumbua ‘mbadala’ wa mgawo wa umeme

Posted on: July 2, 2011 - jomushi
DIT wavumbua ‘mbadala’ wa mgawo wa umeme

Mwanafunzi wa Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Salaam (DIT), Noel Ngomo akitoa maelezo namna kifaa hicho kinachotunza umeme kinavyofanya kazi. Na Joachim Mushi TAASISI…

Continue Reading....

Yanga yaingia Robo Fainali Kagame Cup

Posted on: July 2, 2011 - jomushi
Yanga yaingia Robo Fainali Kagame Cup

Kikosi cha timu ya Yanga GOLI la mshambuliaji, Davies Mwape wa Yanga limeivusha timu hiyo katika hatua ya Robo Fainali ya Michuano ya Kombe la…

Continue Reading....

Twiga Stars yatua Harare kuikabili Botswana, COSAFA

Posted on: July 1, 2011July 1, 2011 - jomushi
Twiga Stars yatua Harare kuikabili Botswana, COSAFA

Baadhi ya wachezaji wa Harare, Twiga Stars imewasili salama hapa Harare leo mchana kwa ajili ya michuano ya wanawake ya Baraza la Vyama vya Mpira…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari