Na Boniface Wambura, Lagos Timu ya U23 imewasili salama hapa saa 6.30 mchana kwa ndege ya Kenya Airways kabla ya kuunganisha ndege ya Concord Airlines…
Continue Reading....Month: June 2011
Press Conference yahairishwa!
Press Conference iliyopangwa kufanyika leo tarehe 17 Juni, 2011 katika Ofisi za Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu imepangwa kufanyika kesho tarehe 18…
Continue Reading....UTEUZI WA NAIBU GAVANA BENKI KUU YA TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Daktari Natu El-Maamry Mwamba kuwa Naibu Gavana wa Benki kuu ya Tanzania.…
Continue Reading....Rais Kikwete atolea maelezo tatizo la ajira.
Upungufu wa ajira hususan miongoni mwa vijana ni changamoto kubwa kwa nchi zinazoendelea kwa sababu ya uchumi wake kuwa mdogo na kukua polepole. Rais…
Continue Reading....“Anti-Corruption Squard” wametua ndani ya kambi FFU- Ughaibuni !
Lile song lililojipatia umaarufu katika kila kona “Rushwa ni Adui wa Haki” kutoka kwao Ngoma Africa Band aka FFU yenye maskani yake Ujerumani,sasa wimbo huo…
Continue Reading....