RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA BILL GATES NA KAIMU BALOZI WA MAREKANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa tasisi ya Bill and Melinda Gates Foundation Bw. Bill Gates aliyemtembelea na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akizungumza na Mwenyekiti wa tasisi ya Bill and Melinda Gates Foundation Bw. ill Gates aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akisalimiana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Bi. Immi Patterson aliyemtembelea na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiwa katika mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Bi. Immi Patterson aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017.