Blogs Tanzania | News |  Michuzi ya Habari leo

 

Hii ndiyo Demokrasia ya kweli

Tawi linaloitwa umoja wa mataifa Uzini ZNZ

Tawi hili linajulikana kama Umoja wa Mataifa

4 Comments for “Hii ndiyo Demokrasia ya kweli”

  1. sarah

    jaman tunakwenda wapi?

  2. Daniel msuya

    APO UMENENA NA KAMA TUKIIMARIKA KIHIVI TUTASONGA MBELE.

  3. jo

    Hii inaonesha mfano mzuri kutoka ngazi za chini kuwa itikadi si kugombana sasa iwekwe minara ya dini tofauti pamoja idhihirishe kuwa dini si kugombana Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania.

  4. saleh abdoulrasoul

    kama Tanzania tutakuwa wakomavu kidemokrasia. Sidhani kama tutalumbana kwa mambo yasio na msingi.
    Ila kama hali itabaki kuwa hivi, nadhani Tutaraji yalio wakuta Kenya na Uganda.

Leave a Reply

*

 

 

Log in |

 

Google+