TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

tangazo-la-kazi
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

TheHabariMediaGroup (TMG), tunapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa watume barua za maombi ya kazi zifuatazo:

1. Mwandishi wa Habari Za Michezo

(a) Sifa za waombaji
Waombaji wawe wamehitimu form four, wanaopenda kufuatilia habari za michezo na wanajua kusoma na kutafsiri lugha ya kingereza kwenda kiswahili.

(b) Majukumu
• Kuandika habari kuhusu soka ya ligi za Ulaya;
• Kuandika habari kuhusu soka ya ligi ya Tanzania;
• Kuandika habari zinazohusu wasanii na mastaa wa Tanzania

(c) Mshahara ni makubaliano kutokana na ubora wa kazi yako.

2. Social Media Manager

(a) Sifa za waombaji
Waombaji wawe wamehitimu form four, wanajua kutumia facebook, instagram na Twitter.

(b) Majukumu

• Kupost picha kwenye instagram;
• Kuandika tweets kwenye twitter;
• Kupost picha na post za aina tofauti kwenye facebook

(c) Mshahara ni makubaliano kutokana na ubora wa kazi yako.

Kuomba nafasi za kazi, tuma barua pepe kwenda thehabarimediagroup@gmail.com.

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 22/11/2015.

Related Post

3 thoughts on “TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

  1. Comment…Namba nafasi ya uandishi wa habari mtandaoni, mimi ni msichana nimehitimu kidato cha nne na nna uwezo wa kutumia Mitandao na nnajua kingereza na kiswahili kwa ufasaha

  2. Comment…naomba nafasi ya uandishi wa habari za michezo. Mimi ni msichana nimemaliza kidato cha nne ninauzoefu wa kutumia mitandao ya kijamii ninajua lugha ya kiswahili na kingereza

  3. Commen Naomba nafasi ya uandishi wa habari za michezo. Mimi ni msichana nimehitimu kidato cha nne ninauwezo wa kutumia mitandao ya kijamii vizier, ninajua kiswahili na kingereza fasaha

Comments are closed.