HATIMAYE mwana mama Theresa Mary May amechukua usukani na kuwa Waziri Mkuu wa taifa la Uingereza. Akizungumza baada ya kupokea ufunguo wa makao rasmi ya…
Continue Reading....Tag: Uingereza
David Cameron Ashinda Uchaguzi, Mpinzani Wake Ajiuzulu
WAZIRI Mkuu wa Uingereza, David Cameron amepata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu uliofanyika nchini humo jana. Chama chake cha Conservative kimepata viti 330 huku kile…
Continue Reading....Edward Lowassa Azungumza na Balozi wa Uingereza
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchi za Nje,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania,Mh. Dianna Melrose aliyefika ofisini kwake…
Continue Reading....Bodi ya Utalii Yaendelea Kuitangaza Tanzania Kupitia Michezo
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kalaghe na Garry Hutchinson Mkurugenzi wa Biashara wa timu ya ligi kuu ya Uongereza ya Sunderland wakionyesha jezi ya…
Continue Reading....Happiness Watimanywa Ahaidi Kufanya Vizuri Uingereza
Na Benedict Liwenga, Maelezo-DSM MREMBO wa Tanzania wa mwaka 2013, Happiness Watimanywa ameahidi kuing’arisha Tanzania katika mashindano ya ulimbwende ya Dunia yatakayofanyika mapema mwezi…
Continue Reading....Waziri Mkuu Tanzania Awashawishi Wawekezaji Uingereza
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amefanya mikutano na wawekezaji kadhaa ambao wanahudhuria mkutano wa uwekezaji barani Afrika ulioanza jana kwenye jijini London, Uingereza. Katika mikutano…
Continue Reading....