MSANII maarufu wa muziki wa dansi nchini, Ramadhan Masanja a.k.a Banza Stone amefariki dunia leo mchana jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda…
Continue Reading....Tag: Msanii
Msanii Ebrahim Makunja Ahojiwa na Offener TV
MWANAMUZIKI Ebrahim Makunja a.k.a Kamanda Ras Makunja kiongozi mwanzilishi wa bendi maarufu Ngoma Africa almaharufu FFU-Ughaibuni ya Ujerumani, juzi alifanya mahojiano na kituo cha TV…
Continue Reading....Lulu Aitambulisha Filamu Yake Mapenzi ya Mungu
Msanii wa Sanaa ya Maigizo Nchini, Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa Alipokuwa akiitambulisha filamu yake Mpya…
Continue Reading....Diamond Azidi Kujichanganya JWTZ, Aandika Barua ya ‘Vituko’…!
Na Mwandishi Wetu, MSANII wa Muziki wa Kizazi kipya Naseeb Abdullah a.k.a Diamond Platinamz amezidi kujichanganya katika kosa linalomkabili na kutumia mavazi wa JWTZ kwenye…
Continue Reading....Diamond: Siwezi Kwenda Mahakamani…!
MSANII nyota wa muziki wa bongo fleva Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz amesema kamwe hawezi kwenda mahakamani kumshtaki mtu kwa ajili ya kashfa na vituko…
Continue Reading....