Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Haki za Binadamu

Tag: Haki za Binadamu

UNDP Yawezesha Maandalizi Ripoti ya Maendeleo ya Binadamu

Posted on: June 14, 2016 - jomushi
Post Tags: Haki za Binadamu
UNDP Yawezesha Maandalizi Ripoti ya Maendeleo ya Binadamu

  MAANDALIZI ya Ripoti ya pili ya Maendeleo ya Binadamu (THDR) inayotarajiwa kuzinduliwa Juni 2017 yamefikia katika ngazi ya mwisho ya ukusanyaji wa maoni ya…

Continue Reading....

Tanzania Hatiani kwa Kukiuka Haki za Binadamu…!

Posted on: March 19, 2016 - jomushi
Post Tags: Haki za Binadamu
Tanzania Hatiani kwa Kukiuka Haki za Binadamu…!

Na Baltazar Nduwayezu, EANA MAHAKAMA ya Afrika kuhusu Haki za Binadamu na za watu (AfCHPR) imeitia hatiani serikali ya Tanzania kwa kukiuka haki za binadamu…

Continue Reading....

Tanzania Wapongezwa Kupunguza Vifo vya Wajawazito na Watoto

Posted on: June 30, 2015 - jomushi
Post Tags: Haki za Binadamu, UN, UNICEF
Tanzania Wapongezwa Kupunguza Vifo vya Wajawazito na Watoto

Na Joachim Mushi, Dar es Salaam TANZANIA inajivunia mafanikio makubwa ya kupunguza idadi ya vifo vya wajawazito pamoja na idadi ya watoto chini ya miaka…

Continue Reading....

Watetezi wa Haki za Binadamu Wapinga Juu ya Sheria ya Takwimu

Posted on: April 18, 2015 - jomushi
Post Tags: Haki za Binadamu, Sheria ya Takwimu
Watetezi wa Haki za Binadamu Wapinga Juu ya Sheria ya Takwimu

TAMKO LA WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU KUMTAKA RAIS ASITIE SAIN YA SHERIA YA TAKWIMU YA 2015 NA SHERIA YA MAKOSA YA MITANDAO BILA KUFANYIWA…

Continue Reading....

EU Yampa Helen Kijo-Bisimba Tuzo ya Haki za Binadamu

Posted on: March 19, 2015April 26, 2015 - jomushi
Post Tags: Haki za Binadamu, Kijo-Bisimba, Tuzo
EU  Yampa Helen Kijo-Bisimba Tuzo ya Haki za Binadamu

UMOJA wa Ulaya umemtunuku Mama Helen Kijo- Bisimba (pichani) kutokana na mchango wake kwa ajili ya kutetea na kulinda haki za binadamu nchiini. Tuzo hiyo,…

Continue Reading....

Jaji Ramadhani Aitaka Afrika Kuzingati Haki za Binadamu

Posted on: November 23, 2014 - jomushi
Post Tags: Afrika, Haki za Binadamu, Jaji Ramadhani
Jaji Ramadhani Aitaka Afrika Kuzingati Haki za Binadamu

Na Mtuwa Salira, EANA-Arusha RAIS wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR), Jaji Augustino Ramadhani amezitaka nchi za Afrika kuzingatia zaidi…

Continue Reading....
thehabari