Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Dk. Magufuli

Tag: Dk. Magufuli

Rais Magufuli Afanya Mazungumzo na Mjumbe wa Rais wa Nigeria

Posted on: January 10, 2017 - jomushi
Post Tags: Dk. Magufuli
Rais Magufuli Afanya Mazungumzo na Mjumbe wa Rais wa Nigeria

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Profesa Ibrahim Gambari ambaye ni Mjumbe maalum wa Rais wa…

Continue Reading....

Vyuo Vikuu Wampongeza Rais Dk. John Magufuli

Posted on: November 2, 2015November 2, 2015 - jomushi
Post Tags: Dk. Magufuli
Vyuo Vikuu Wampongeza Rais Dk. John Magufuli

Frank Mvungi, MAELEZO SHIRIKISHO la Vyuo Vikuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) limempongeza Rais mteule wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli kwa…

Continue Reading....

Kimbisa Amnadi Magufuli kwa Nguvu, Mama Pinda Anogesha…!

Posted on: September 2, 2015September 2, 2015 - jomushi
Post Tags: Dk. Magufuli
Kimbisa Amnadi Magufuli kwa Nguvu, Mama Pinda Anogesha…!

Na Mwandishi Wetu, Dodoma MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa ameweka kando msimamo aliyokuwa nao awali na kuanza kumnadi kwa…

Continue Reading....

Tunakwenda Kwenye Uchaguzi Kushindana na Makapi Yetu – CCM

Posted on: August 4, 2015 - jomushi
Post Tags: Dk. Magufuli, Fomu za Urais
Tunakwenda Kwenye Uchaguzi Kushindana na Makapi Yetu – CCM

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinakwenda kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu kwa kushindana na wagombea ambao ni makapi yake ambao ni viongozi waliotoka chama tawala. Kauli…

Continue Reading....

Dk Magufuli Aanza Vizuri, Azoa Wanachama Wapya 150 Wilayani Chato

Posted on: July 20, 2015 - jomushi
Post Tags: Dk. Magufuli, Wanachama
Dk Magufuli Aanza Vizuri, Azoa Wanachama Wapya 150 Wilayani Chato

Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dk.John Pombe Magufuli akipokea kadi za Wanachama wa vyama mbalimbali vya upinzani na kujiunga na CCM,jioni hii katika viwanja vya…

Continue Reading....

Dk. Magufuli Apokelewa kwa Shangwe Jimboni Kwake Chato

Posted on: July 20, 2015 - jomushi
Post Tags: Chato, Dk. Magufuli
Dk. Magufuli Apokelewa kwa Shangwe Jimboni Kwake Chato

  Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM, Dk. John Pombe Magufuli akiwaaga Wananchi wa Chato waliojitokeza kwa wingi kumlaki,mara baada ya kumaliza kujitambulisha na…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
thehabari