SBL Yakabidhi Gari ya Promosheni ya VUMBUA HAZINA CHINI YA KIZIBO

Meneja wa Maendeleo ya biashara wa kampuni ya bia ya Serengeti bw. Antony Mulinge (wa pili kutoka kulia)akimkabidhi funguo za gari mshindi wa gari ya mwisho katika promosheni ya VUMBUA HAZINA CHINI YA KIZIBO na SBL’ bw. Paul Kessy ambaye ni mh
Meneja wa Maendeleo ya biashara wa kampuni ya bia ya Serengeti bw. Antony Mulinge (wa pili kutoka kulia)akimkabidhi funguo za gari mshindi wa gari ya mwisho katika promosheni ya VUMBUA HAZINA CHINI YA KIZIBO na SBL’ bw. Paul Kessy ambaye ni mh
Meneja wa Maendeleo ya biashara wa kampuni ya bia ya Serengeti bw. Antony Mulinge akimfungulia mlango mshindi wa gari ya mwisho katika promosheni ya VUMBUA HAZINA CHINI YA KIZIBO na SBL’ bw. Paul Kessy mara baada ya kumkabidhi funguo.
mshindi wa gari ya mwisho katika promosheni ya VUMBUA HAZINA CHINI YA KIZIBO na SBL’ bw. Paul Kessy akifurahia gari yake mara baada ya kuliwasha, kushoto kwake ni Meneja wa Maendeleo ya biashara wa kampuni ya bia ya Serengeti bw. Antony Mulinge
umati mkubwa wa watu waliofurika katika bar ya river side kushuhudia tukio la kipekee la kampuni ya bia ya Serengeti kukabidhi gari la mwisho kwa mshindi wake bw. Paul Kessy jana jijini Dar esSalaam.
Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

About The Author

Joachim Ernest Mushi, Kitaaluma ni mwanahabari muhitimu (Uandishi-2006) wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma (IJMC) kwa sasa Shule Kuu ya Uandishi na Mawasiliano. Nimekuwa mwandishi wa habari za uchunguzi (Gazeti la Kulikoni & Thisday), Mwandishi mwandamizi Gazeti kongwe la Kiongozi, Mhariri wa Makala mwanzilishi wa Gazeti la Jambo Leo. Kwa sasa ni Mhariri Mkuu Kiongozi wa Thehabari.com, nchini Tanzania.

Related posts

Leave a Reply

Your email address will not be published.