Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara ITNBC) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha mkutano wa 11 wa baraza hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 19, 2018.

Sehemu ya Viongozi wa serikali na wafanyabiashara wakiwa katika mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la Biashara unaoendeshwa na Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 19, 2018.

Sehemu ya wafanyabiashara wakiwa katika mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la Biashara unaoendeshwa na Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 19, 2018.

Mwenyekiti wa Sekta Binafsi Dkt. Reginald Mengi akizungumza katika mkutano wa 11 wa baraza hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 19, 2018.

Mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la Biashara (ITNBC) ukiendelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 19, 2018.

Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (ITNBC) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Sekta Binafsi Dkt. Reginald Mengi.