tangazo
tangazo
Msiue Albino

TBC inakujulisha kwamba;

By  |  12 Comments

Ndugu mdau na mteja wa TBC.

Pamoja na kurusha matangazo na vipindi mbalimbali vya makampuni,taasisi na mashirika mbalimbali,Shirika la Utangazaji Tanzania TBC linayo furaha kubwa kukufahamisha kuwa wewe kama familia,ndugu,jamaa na rafiki yetu unaweza kurusha matukio ya harusi, send off, kitchen party au kumbukumbu za nyuma za matukio haya kupitia kipindi cha Chereko chereko cha TBC One. Pia unaweza kumpongeza mzazi, mume, mke, mtoto , ndugu, jamaa, na rafiki yako kwa hatua ya mafanikio aliyofikia kupitia kipindi cha Bango .Unakaribishwa kwa matukio mengine kama vile: matangazo ya vifo, kumbukumbu, arobaini, kupotelewa, kupandishwa cheo, kumaliza masomo, graduations kuanzia nursery hadi chuo kikuu, anniversaries, birthday na matukio mengine mengi yanayofanana na haya yanaweza kutangazwa kupitia kipindi cha‘’Bango ’

RATIBA YA KIPINDI CHA CHEREKOCHEREKO
JUMAPILI
SAA 1:00-2:00 USIKU

JUMATANO
SAA 3:00 – 4:00 ASUBUHI
MARUDIO

RATIBA YA KIPINDI CHA BANGO
Ni kuanzia Jumatatu hadi ijumaa saa 9:00-9:15 ALASIRI, SAA 12:45- 1:00 JIONI & SAA 4:30-5:00 USIKU na kwa siku za Jumamosi na Jumapili ni saa SAA 3:45-4:00 ASUBUHI, 9:00-9:15ALASIRI,SAA 12:45- 1:00 JIONI & SAA 4:30-5:00 USIKU
Kwa mawasiliano zaidi fika kwenye ofisi za TBC zilizoko Tanzania nzima, Kwa wakazi wa Dar es Salaam wanaweza kufika moja kwa moja kwenye ofisi zetu za TBC 1 Mwenge ,Mkabala na ofisi za baraza la mitihani, katikati ya Mji fika makao makuu ya Idara ya masoko Mtaa wa ZANAKI karibu na Ofisi za ex -telecom na Habib Bank , pia unaweza kufika ofisi za TBC makao makuu zilizopo TAZARA mkabala na hospitali ya Dar Group , pia unaweza kutumia namba zilizoambatanishwa hapo chini: Unaombwa piakumjulisha rafiki yako kuhusu Chereko &Bango,Karibuni sana;

Thank you,
Regards

Emmanuel Minja
Senior Marketing Officer
Tanzania Broadcasting Corporation
TBC HQ Tazara.
P.O. Box 9191
Dsm, Tanzania.

Joachim Ernest Mushi, Kitaaluma ni mwanahabari muhitimu (Uandishi-2006) wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma (IJMC) kwa sasa Shule Kuu ya Uandishi na Mawasiliano. Nimekuwa mwandishi wa habari za uchunguzi (Gazeti la Kulikoni & Thisday), Mwandishi mwandamizi Gazeti kongwe la Kiongozi, Mhariri wa Makala mwanzilishi wa Gazeti la Jambo Leo. Kwa sasa ni Mhariri Mkuu Kiongozi wa Thehabari.com, nchini Tanzania.

12 Comments

 1. ELISIA RINGO

  August 28, 2011 at 12:52 pm

  Hello!! Sir / Madam,

  Kama mtu anataka kutangaza nanyi kupitia kipindi chenu cha Bango inacost bei gani?

  • ALLANY CHARLES MSAY

   September 4, 2011 at 5:14 pm

   Naombeni mnifahamishe vizuri kuhusiana tangazo leni la kutafuta mawakala wa bango

 2. Mr. AUSI KILWA MASOKO - LINDI

  September 17, 2011 at 7:39 pm

  NAOMBA MAELEKEZO ZAIDI JINSI YA KUWA WAKALA WA BANGO
  KWANI VITU/ VIFAA VYOTE MUNAVYOVIITAJI KWA MUOMBAJI NINAVYO PIA NINA OFISI INAYOHUSIANA NA KAZI HIZO
  MAWASIANO ZAIDI NAPATIKANA KWA ANWANI ZIFUATAZO:-
  0787144311
  0715144311
  0767144311
  0778144311
  0232013034
  ayubu_s@yahoo.com

 3. frank mshana

  September 19, 2011 at 1:17 pm

  naitwa frank mshana mkazi wa kongowe kibaha,ninavigezo vyote vya kuwa wakala lakini nilishindwa kuwasilisha maombi mapema kwa kuwa sikuwa mazingira ambayo yangeniruhusu kufanya hivyo mapema.
  mawasiliano yangu ni:
  tel:0714241888
  emai:mshanajuniour@yahoo.com

 4. Eunice kaijage

  June 19, 2012 at 5:09 am

  mimi naishi mtwara nataka kuleta tangazo langu la birthday kwenye kipindi cha bango, je ntawapataje?

  • jomushi

   June 21, 2012 at 3:27 pm

   Asante, Eunice Thehabari.com inakushauri wasiliana moja kwa moja na TBC1 Dar es Salaam au wakala au mwandishi wa TBC1 hapo mtwara.

 5. Mdee Junior

  July 21, 2012 at 10:47 am

  Nataka kuwa freelancer, nifanyeje?
  Ofisi yangu ipo maeneo ya Ubungo Kibangu, Dsm

  Mawailiano yangu:

  0659 700 002
  0653 100 100
  0756 145 417

  Email: mdeebn@gmail.com

 6. Anna madasha

  October 19, 2012 at 8:09 am

  MIMI NAULIZIA VPI ILE TAMTHLIA YA REVANCHA MBONA MLIKATISHA GAFLA NA HII SI MARA MOJA NI MARA NYINGI TU,ZAMANI MLIKUWA MNATUWEKEA TAMHLIA ZA KIFILIPINO SAA HIVI HAMUWEKI KABISA KWA NINI?

 7. Anna madasha

  October 19, 2012 at 8:10 am

  NA KINGINE TUNAOMBA MLUDIE TAMTHILIA YA THE PROMICE

 8. GODWIN RICHARD

  November 11, 2012 at 5:22 pm

  Poleni na kazi za kuwafanya watu wawe na mwamko na vipindi vyenu ikiwemo CHEREKO CHEREKO na vinginevyo.Ninahitaji huduma ya Chereko Chereko ili na ndugu wa mikoani na nje ya nchini waweze kuhabarikana na tukio husika la Harusi yetu,Nifanyeje ili tuweze kuwa na muonekano mpya kama ilivyo TBC1.0765986254

  • jomushi

   November 11, 2012 at 7:24 pm

   wasiliana na mwandishi wa TBC aliyepo karibu nawe, utapata maelezo kamili.

 9. Jasmine Laizer

  June 15, 2014 at 11:42 am

  Nilipata kusikiliza kipindi kinacho husiana na kilimo kati ya mwisho wa mwezi wa nne na mwanzo wa mwezi wa tano, naomba kujulishwa jinsi ya kuweza kuwasiliana na mtangazaji wa kipindi au aliyekuwa kihojiwa kwajina anaitwa ABDULRAHAMANI, sikumbuki jina la kipindi kinaitwaje wala jina la mtangazaji nilikuta kipindi kinaishia lakini ningependa kuwasiliana na ABDULRAHAMANI ambaye anahusika na mambo ya kilimo, kwa mawasiliano zaidi anaweza kunitumia email. mimi napatikana Arusha.

  natumaini kusikia kutoka kwenu,

  asanteni sana,

  Jasmine Laizer

Leave a Reply

Your email address will not be published.

  Am Not Spammer

You may use these HTML tags and attributes: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>

Website designed by web design company Los Angeles
and web design Tanzania
Internet Marketing Tanzania