tangazo
tangazo
Msiue Albino

Nape Azungumzia Vikao vya Juu vya CCM Dodoma

By  |  0 Comments

Katibu wa Nec, Itikadi na Uenezi Taifa wa CCM, Nape Nnauye, alipokuwa akizungumza na Waandishi wa habari leo kuhusu Kufanyika kwa Vikao vya juu vya Chama hicho katika Ukumbi wa White House mjini Dodoma, vikijadili majina ya wagombea nafasi mbali mbali zikiwemo, Uwenyekiti wa Wilaya na Mikoa na Ujumbe wa Halamashauri Kuu ya Taifa. [Picha na Ramadhan Othman, Dodoma]

Joachim Ernest Mushi, Kitaaluma ni mwanahabari muhitimu (Uandishi-2006) wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma (IJMC) kwa sasa Shule Kuu ya Uandishi na Mawasiliano. Nimekuwa mwandishi wa habari za uchunguzi (Gazeti la Kulikoni & Thisday), Mwandishi mwandamizi Gazeti kongwe la Kiongozi, Mhariri wa Makala mwanzilishi wa Gazeti la Jambo Leo. Kwa sasa ni Mhariri Mkuu Kiongozi wa Thehabari.com, nchini Tanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

  Am Not Spammer

You may use these HTML tags and attributes: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>

Website designed by web design company Los Angeles
and web design Tanzania
Internet Marketing Tanzania