tangazo
tangazo
Msiue Albino

Jerry Slaa Aikabidhi Ng’ombe Timu ya Kaza Roho, Gongo la Mboto

By  |  0 Comments

Pichani Juu na Chini ni Meya wa Ilala ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Gongo la Mboto Jerry Slaa akikabidhi ng’ombe kwa Naodha wa timu ya Kaza Roho, Rajabu Akili (kushoto) baada ya kutwaa ubingwa wa mashindano ya kukuza vipaji yaliyojulikana kama “Diwani Super Eight Cup” ya kata ya Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam.

Meya wa Ilala ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Gongo la Mboto Jerry Slaa akimkabidhi Mbuzi kwa mshindi wa pili Naodha wa timu ya Soko Fc (kushoto) baada ya kutwaa ubingwa wa mashindano ya kukuza vipaji katika kata yake yaliyojulikana kama “Diwani Super Eight Cup” jijini Dar es Salaam.

Meya wa Ilala ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Gongo la Mboto Jerry Slaa akimkabidhi Jezi kwa mshindi wa tatu, Zacharia Jonas Naodha wa timu ya Ball Kipaji (kushoto) baada ya kutwaa ubingwa wa mashindano ya kukuza vipaji yaliyojulikana kama “Diwani super Eight Cup” ya Kata ya Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam.

Joachim Ernest Mushi, Kitaaluma ni mwanahabari muhitimu (Uandishi-2006) wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma (IJMC) kwa sasa Shule Kuu ya Uandishi na Mawasiliano. Nimekuwa mwandishi wa habari za uchunguzi (Gazeti la Kulikoni & Thisday), Mwandishi mwandamizi Gazeti kongwe la Kiongozi, Mhariri wa Makala mwanzilishi wa Gazeti la Jambo Leo. Kwa sasa ni Mhariri Mkuu Kiongozi wa Thehabari.com, nchini Tanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

  Am Not Spammer

You may use these HTML tags and attributes: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <strike> <strong>

Website designed by web design company Los Angeles
and web design Tanzania
Internet Marketing Tanzania