Blogs Tanzania | News |  Michuzi ya Habari leo

 

Mkutano wa Saba wa Baraza la Biashara Zanzibar (ZBC ) Wafanikiwa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua Mkutano wa Saba (7) wa Baraza la Biashara la Zanzibar ZBC,uliofanyika leo katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja,(kulia) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abduhamid Yahaya Mzee,na Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko,Nassor Ahmed Mazrui,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

adau wa Mkutano wa Saba (7) wa Baraza la Biashara ZBC wakiwa katika Mkutano Uliofanyika kwa kujadili masuala mbali mbali ya kukuza Uchumi wa Taifa ,Mkutano huo ulifanyika katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakisikiliza kwa makini mada mbali mbali zilizotolewa katika Mkutano wa Saba wa Baraza la Biashara la Zanzibar ZBC,uliofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Short URL: http://www.thehabari.com/?p=27685

Posted by on Jan 20 2013. Filed under Habari za biashara. You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. You can leave a response or trackback to this entry

Leave a Reply

*

 

 

Log in |

 

Google+