tangazo
tangazo
Msiue Albino

Blackberry Storm inauzwa

By  |  1 Comment

Simu aina ya Blackberry Storm inauzwa, ipo katika hali nzuri, ina mfuko wa kubebea, Kava zake 2, Hear Phone, Charger, Screen protector. Imetumika mwezi mmoja tu. Kwa mawasiliano piga simu namba 0655218990
bei ni sh 320,000

Joachim Ernest Mushi, Kitaaluma ni mwanahabari muhitimu (Uandishi-2006) wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma (IJMC) kwa sasa Shule Kuu ya Uandishi na Mawasiliano. Nimekuwa mwandishi wa habari za uchunguzi (Gazeti la Kulikoni & Thisday), Mwandishi mwandamizi Gazeti kongwe la Kiongozi, Mhariri wa Makala mwanzilishi wa Gazeti la Jambo Leo. Kwa sasa ni Mhariri Mkuu Kiongozi wa Thehabari.com, nchini Tanzania.

1 Comment

  1. erick

    September 6, 2012 at 1:15 pm

    Nna laki mbili , vipi tunaweza fanya business

Leave a Reply

Your email address will not be published.

  Am Not Spammer

You may use these HTML tags and attributes: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>

Website designed by web design company Los Angeles
and web design Tanzania
Internet Marketing Tanzania